Add a Slideshow to see your custom images here
Central Tanzania Field ni Jimbo la Kanisa la Waadventista wa Sabato nchini Tanzania,Ni jimbo linaloundwa na Mikoa miwili pamoja na wilaya moja ambayo ni wilaya ya Kiteto ya mkoani Manyara .Mikoa inayounda jimbo hili ni Mkoa wa Dodoma na Iringa huku Makao makuu ya Jimbo yakiwa yapo mkoani Dodoma .
Viongozi wanaongoza Jimbo hili kwa sasa ni hawa wafuatao.


1.Mwenyekiti ni Mch Toto Ndege Bwire Kusaga.
2.Katibu ni Mch Festo Mng'ong'o


3.Mhazini Ndg Joshua Mwambopo
Na wakurugenzi  ni:-

Mch Yared Nkoswe



Mch David Mmbaga

Mch Harold Lissi


Mch Sabato Maseke
Jannet Bwaira